Wednesday, June 27, 2012

SHUGHULI ZA UOKOZI ZINATARAJIWA KUANZA TENA


SHUGHULI ZA UOKOZI ZINATARAJIWA KUANZA TENA LEO ASUBUHI MASHARIKI MWA UGANDA AMBAKO VIJIJI VITATU VILIFUNIKWA NA UDONGO KUFUATIA MAPOROMOKA YA UDONGO YALIYOKUMBA ENEO LA BUDUDA.
SHIRIKA LA MSALABA MWEKUNDU NCHINI UGANDA LIMESEMA KUWA ZAIDI YA WATU KUMI NA WANANE WAMEFARIKI DUNIA KATIKA MAPOROMOKO HAYO.
ZAIDI YA NYUMBA KUMI NA TANO ZIMEZIKWA KUFUATIA MVUA KUBWA ILIYONYESHA KATIKA ENEO HILO.

No comments:

Post a Comment