Friday, June 22, 2012

COLLINA: LILE NI GOLI

JOHN TERRY ALIWAHI KUOKOA SHUTI LA MARKO DEVIC NA PAMOJA NA KUFANIKIWA KUOSHA, LAKINI MIKANDA YA TELEVISHENI ILIONYESHA MPIRA ULIKWISHAVUKA MSTARI WA GOLI.
 
COLLINA ALISEMA KUWA KUCHUKULIA SUALA LA MAKOSA YA BINADAMU, SI SAHIHI, LAKINI AKASEMA KUWA HALI KAMA HIYO HAIKUJITOKEZA KATIKA MECHI YA UJERUMANI NA URENO NA ITALIA DHIDI YA CROATIA NA NI MECHI ZILIZOCHEZESHWA VIZURI.

"MPIRA ULISHAVUKA MSTARI," ALISEMA MWAMUZI HUYO. "HII NI MARA YA TATU KWA HALI HIYO KUIBUKA. KWA BAHATI MBAYA, HII YA SASA HIVI NI MBAYA ZAIDI."


No comments:

Post a Comment