Wednesday, December 7, 2011

VILLAS-BOAS AANZA KUPUMUA KWA UHURU ZAIDI KUFUATIA USHINDI.

KOCHA WA CHELSEA ANDRES VILLAS-BOAS SASA AMEANZA KUONEKANA AKIWA NI MWENYE AHUENI NA NAFUU KUFUATIA USHINDI DHIDI YA TIMU YA VALENCIA. CHELSEA ILIPATA MAGOLI YAKE KUPITIA DIDIER DROGBA ALIYEFUNGA MAGOLI MAWILI NA LINGINE LIKIFUNGWA NA RAMIRESAway Team Time
Chelsea 3-0 Valencia FT
(HT 2-0)
  • Drogba 3
  • Ramires 22
  • Drogba 76


MATOKEA YA MECHI NYINGINE NI KAMA IFUATAVYO
  • Apoel Nicosia0-2Shakhtar Donetsk
  • Barcelona4-0BATE Borisov
  • Borussia Dortmund2-3Marseille
  • FC Porto0-0Zenit St P'sbg
  • Genk1-1Bayer Leverkusen
  • Olympiakos3-1Arsenal
  • Plzen2-2AC Milan

No comments:

Post a Comment