Tuesday, December 6, 2011

KABUL MAMBO SI SHWARI

MLIPUKO UMERIPOTIWA HUKO KABUL, NCHINI AFGANSTAN. MLIPUKO HUO AMBAO UMETOKEA ENEO AMBALO INA SADIKIWA KULIKUA NA MAHUJAJI NA UMESABABISHA MADHARA MAKUBWA KWA MALI NA WATU ZAIDI YA 20 WANASADIKIWA KUPOTEZA MAISHA. VYANZO VYA HABARI VINABAINISHA YAKUA KUNAHISIA KWAMBA MLIPUKO HUU UMESABABISHWA NA MTU MMOJA ALIYE JITOA MUHANGA. NA KULIKUA NA MLIPUKO MWINGINE KASKAZINI MWA KABUL KATIKA ENEO LA MAZAR-I-SHARIFU. MILIPUKO HII IMETOKEA KIPINDI AMBAPO WAISLAMU WA MADHEHEBU YA SHIA WAKIADHIMISHA KUMBUKUMBU YA "ASHURA"

No comments:

Post a Comment