Monday, December 5, 2011

AJALI YA BEI MBAYA

KATIKA HALI ISIO YA KAWAIDA INASADIKIWA KUA KUNA AJALI AMBAYO NI YA BEI GHALI ZAIDI KUTOKEA KUTOKANA NA KUHUSISHA NA AINA NA BEI YA MAGARI HAYO. AJALI HIO ILIHUSISHA FERRARI NANE NA MERCEDES BENZ TATU,
Lamborghini NA GARI NYINGINE MBILI NA KUFANYA JUMLA YA MAGARI 14 KUHUSIKA KATIKA AJALI MOJA. PIA GHARAMA ZA MAGARI HAYO NIJAMBO JINGINE LINALOIFANYA AJALI HIO IWE YA KIPEKEE. GHARAMA ZAKE NI KAMA FEDHA ZA KIMAREKANI MILIONI 3.85. PAMOJA NA GHARAMA ZILIZO TOKANA NA KUFUNGWA KWA BARABARA HIO KWA MUDA WA SAA 6 NA BAADHI YA MAGARI HAYO IMESEMEKANA HAYATA WEZA KUKARABATIWA KUTOKANA NA KUA KATKA HALI MBAYA.

No comments:

Post a Comment