Wednesday, December 7, 2011

ROMA USO KWA USO NA MADRID KATIKA TETESI ZA USAJILI

KATIKA HALI YA KUSHANGAZA KOCHA MBAHILI ZAIDI KATIKA LIGI KUU YA UINGEREZA AMESEMA AKIPATA FUNGU LA KUTOSHA ATAMSAJILI KINDA WA KIBRAZILI NEYMAR

TIMU ZA REAL MADRID NA ROMA ZIMEGONGANA KATIKA KUWANIA SAIN YA MWINGEREZAKYLE WALKER ILI ATOE HUDUMA ZAKE KATIKA MOJA YA TIMU HIZO LAKIN MWISHO WASIKU MWENYE KISU KIKALI NDIYE ATAKAYE KULA NYAMA 

INASADIKIWA YA KUWA TIMU YA TOTTENHAM INAJIANDAA KUMTOA  MCHEZAJI WAO ROMAN PAVLYCHENKO PAMOJA KIASI FULAN CHA FEDHA ILI KUPATA SAINI YA MCHEZAJI WA TIMU YA MARSEILLE LOIC REMY
 

No comments:

Post a Comment