Monday, December 26, 2011

Syria unrestWASIMAMIZI ZAID KUWASILI NCHINI SYRIA ILIKUJARIBU KUHITIMISHA MIEZI KADHAA YA MAANDAMANO NCHINI HUMO. HUKU WAPINZANI WAKITAKA WASIMAMIZI HAO KUFIKA HARAKA KATIKA MIJI AMBAYO NDIO WAO WANAAMINI IMEKALIWA NA VIKOSI VITIIFU VYA SERIKALI YA RAIS Bashar al-Assad HUKU KUKIWA NA SHUTUMA NYINGI ZA UKIUKWAJI WA HAKI ZA RAIA. TAKRIBANI WATU 5000 WAMEKADIRIWA KUFA TOKEA KUANZA KWA VUGUVUGU HILO LA MAPINDUZI NCHINI HUMO HUKU MIJI YA DAMASCUS NA HOMS IKIWA NDO YANYEGHASI KUBWA NA MAUAJI YA KINYAMA KUTOKA KWA VIKOS VYA SERIKALI. KUTOKANA NA HATUA HIYO VYOMBO VYA KIMATAIFA VYA HABARI VIMEPIGWA MARUFUKU KUINGIA HUKO NA KUTOA TAARIFA ZINAZO HUSIANA NA NCHI HIYO


No comments:

Post a Comment