Monday, December 26, 2011

WANNE WAFA KWA BOMU HUKO IRAQ


INAKADIRIWA KIASI CHA WATU WANNE WAMEFIKWA NA MAUTI NA WENGINE 17 KUJERUHIWA VIBAYA NA BOMU LILILOKUA LIMETEGWA KATIKA GARI KARIBU NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA IRAQ. MIFULULIZO YA MABOMU KWA SIKU ZA HIVI KARIBUNI INAKADIRIWA KUUWA WATU ZAIDI YA 70. INADAIWA GARI HILO LILILOKUA NA BOMU LILILAZIMISHA KUINGIA MARABAADA YA MLINZI KUFUNGUA GETI ILIKURUHUSU WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO KUINGIA KATIKA OFISI HIZO. ILISIKIA MILIO YA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA PAMOJA NA RANDARANDA ZA HELKOPTA KARIBU NA ENEO LA TUKIO HUKO IRAQ
No comments:

Post a Comment