Thursday, December 8, 2011

SUNDERLAND YAMFIKIRIA GYAN

TIMU YA SUNDERLAND INAFIKIRIA KUMRUDISHA MFUNGAJI WAO KUTOKA GHANA ASAMOAH GYAN ALIYEPELEKWA KWA MKOPO KATIKA TIMU YAAL AIN YA FALME ZA KIARABU. HATUA HIO IMEFUATIA KUAJIRIWA KWA MARTINI O'NEILL. GYAN ANAONYESHA MAPENZI JAPOKUA ALIPELEKWA KWA MKOPO HUKO UARABUNI.

ASAMOAH GYAN

GYAN ALIPOST KATIKA AKAUNTI ZAKE ZA TWITTER NA FACEBOOK KUMTAKIA HERI BOSS WAO MPYA HATUA HIYO IMEONYESHA KUMFURAHISHA O'NEILL NA ANAFIKIRIA KUMRUDISHA KUNDINI.

No comments:

Post a Comment