Wednesday, December 7, 2011

JUVE YENYE HELA "MBUZI" YA MTAKA DAVID LUIZ

TIMU YA JUVENTUS TORINO YA ITALIA BADO IMEENDELEA KUDONDOSHA UDENDA KWA BEKI WA TIMU YA CHALSEA FC DAVID LUIZ. CHAKUSHANGAZA ZAID NIKWAMBA BAADA YA KUSHINDWA KUMSAJILI MSIMU ULIOPITA KUTOKANA NA WAO  JUVE KUTOA OFA NDOGO KWA CHELSEA SAFARI HII JUVE WAMEKUJA NA "KIDAU KIDOGO ZAIDI".  

No comments:

Post a Comment