Thursday, December 8, 2011

MANCHESTER UNITED YAKIONA KILICHOMTOA KANGA MANYOYA YA SHINGONI.

TIMU YA MANCHESTER UNITED ALMAARUFU MAN U JANA ILIADHIRISHWA NA TIMU YA FC BASEL KWA KUTANDIKWA GOLI 2-1. NA HIVYO KUSHINDWA KUFUZU KATIKA HATUA YA MTOANO. HADI MWISHO WA MCHEZO MAMBO YALIKUA HIVI
Away Team Time
FC Basel 2-1 Man UtdMATOKEO MENGINE NI KAMA IFUATAVYO
  1. Ajax0-3Real Madrid

  2. Benfica1-0Otelul Galati

  3. Dinamo Zagreb1-7Lyon

  4. FC Basel2-1Man UtdFT
  5. Inter Milan1-2CSKA Moscow

  6. Lille0-0Trabzonspor

  7. Man City2-0Bayern MunichFT
  8. Villarreal0-2Napoli

No comments:

Post a Comment