Monday, December 5, 2011

SARKOZY NA MERKEL KATIKA MAZUNGUMZO JUU YA ULAYA

RAISI WA UFARANSA NA KANSELA WA UJERUMANI KATIKA MAZUNGUMZO AMBAYO YANATARAJIWA KUTOA MWELEKEO JUU YA MWENENDO NA HATMA YA UMOJA WA NCHI ZINAZOTUMIA SARAFU YA ULAYA (EURO). MAZUNGUMZO YATAKUA JUU YA NAMNA YA KUUNGANISHA NGUVU NA HALI YA MADENI KATIKA UMOJA HUO....

No comments:

Post a Comment