Monday, December 5, 2011

KUMEKUCHA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO.

RIPOTI ZINAELEZA YA KWAMBA KUMEZUKA MAPIGANO HUKO KONGO DR KUFUATIA MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI. INASEMEKANA VURUGU HIZO ZIMETOKANA NA MATOKEO YA AWALI YANAYO ONYESHA KANA KWAMBA RAIS ALIOKO MADARAKANI BW JOSEPH KABILA ANAONGOZA KATIKA MATOKEO YA KURA HIZO. WASTANI WA WATU 14 WAMESHA UWAWA MPAKA MUDAHUU TULIPOINGIA MITAMBONI. KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUA NASI

No comments:

Post a Comment