Monday, December 5, 2011

LAURENT GBAGBO MBELE YA PILATO

Rais aliyeondolewa madarakani nchini Ivory Coast Laurent Gabgbo anafikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya Jinai ICC hii leo. Mwansiasa huyo anatarajiwa kufunguliwa mashtaka ya uhalifu wa kivita. Gbagbo alipelekewa nchini Uholanzi wiki jana.

No comments:

Post a Comment