Monday, December 26, 2011

SANTA CLAUS AUA HUKO TEXAS


RAIA MMOJA HUKO TEXAS NCHINI MAREKANI ALIYEVALIA MAVAZI YA SANTA CLAUS AMEFANYA MAUAJI YA WATU WA SITA NA YEYE MWENYEWE KUJIUA. KIMUONEKANO NI KAMA WATU WOTE WALIOUWAWA NI WAFAMILIA MOJA AMBAO WALIKUA WAPO KATIKA NYUMBA MOJA WAKISHEREHEKEA SIKUKUU YA CHRISTMAS. MBAYA ZAIDI NIKWAMBA KATIKA NYUMBA ILIPOTOKEA HAKUKUTWA YEYOTE ALIYEMZIMA.

No comments:

Post a Comment