Friday, December 9, 2011

SALAM ZANGU ZA MIAKA 50 YA UHURUNI MIAKA 50 YA UHURU SISI KAMA WATANZANIA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUJALIA AMANI KWA MUDA WOTE WA MIAKA 50 TUNAOMBA KUANZIA SASA NA KUENDELEA MWENYEZI MUNGU ATUJALIE AKILI NA UELEWA WA NAMNA YA KUTUMIA RASILIMALI ZETU KWA FAIDA YA VIZAZI VYA WATANZANIA VILIVYOPO NA VIJAVYO. BILA KUSAHAU NAWAPONGEZA VIONGOZI MBALIMBALI WALIO ONGOZA NA KUFANIKISHA UHURU. PIA NAPONGEZA NIA YAO NJEMA YA KUTAKA WATANZANIA TUJITAWALE KATIKA NYANJA YA KIUCHUMI NA KIJAMII, WALIKUA NA WAZO JEMA SANA AMBALO KILA MWENYEMAPENZI MEMA ANGEPONGEZA KAMA NIFANYAVYO MIMI HAPA. LAKINI KITUMBUA HICHI KIMEINGIA MCHANGA KUTOKANA NA KUPOTE KWA MALENGO YA WAPIGANIA UHURU WETU AMBAO TULIFIKIRI TULIPASWA KUFUATA "VISION" YAO IJAPOKUA "MISSION" INGEWEZA KUA TOFAUTI LAKINI SIO VISION WALA  MISSION INAYOLETA MATUMAINI KWAMBA TUTAELEKEA KWENYE KUIFANYA HII NCHI KUFIKIA KUNAPOTARAJIWA NA WATANZANIA WENGI. KIUKWELI NIKWAMBA HALI YA SASA "INACHEFUA" SANA KIASI AMBACHO KIZAZI CHENYENGUVU CHA WAKATI HUU WANATAFUTA "PAKUTAPIKIA" NA KATIKA KUTAPIKA HUKO KUNAWEZA KUMCHAFUA "MHESHIMIWA ALIYE VAA SUTI". NI VYEMA HATUA MADHUBUTI ZA KUIMARISHA AMANI YETU KWA KUWANA MGAWANYOSAWA WA KEKI YA TAIFA, KULIKOILIVYO SASA AMBAPO WATUFULANI WAMEKULA WAMEVIMBIWA LAKINA BADO WANANG'ANG'ANIA KULA TU. ILIHALI KUNAWATU WAPO NYUMA YAO WAKISUBIRI KULA CHAKULA HICHOHICHO WANACHONG'ANG'ANIA WAO. UKWELI NI KWAMBA KUNAMENGI YA KULALAMIKA KULIKO YA KUJIPONGEZA HASA KATIKA NYANJA YA UCHUMI AMBAO NDIO UNAOGUSA ASILIMIA KUBWA YA MAISHA YA WATU. AKSANTEN KWA KUNIRUHUSU "KUBWABWAJA"


No comments:

Post a Comment