Friday, December 9, 2011

MOTO WAZUKA HOSPITALIN NA KUCHUKUA MAISHA YA WATU

MOT ULIOZUKA KASKAZIN MWA MJI WA CALCUTTA UMESABABISHA VIFO VYA WATU WANAOKADIRIWA KUFIKIA 20. MOTO HUO PIA ULIKADIRIWA KUWAZUNGUKA WATU WAPATAO 40 BILA MSAADA. KUZUKA KWA MOTO HUO KUMESABABISHA UONGOZI WA HOSPITALI HIO KUWAHAMISHIA HOSPITAL ZA JIRANI KUTOKA KATIKA HOSPITAL YA AMRI.


No comments:

Post a Comment