Friday, August 10, 2012

MWENGE WA UHURU MBIO-MBIO UKIELEKEA MUNDULI KUTOKA ARUSHA MJINI

WAKAZI WA MBAUDA WENGI WAO WAKIWA NI WATOTO WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUUKIMBIZA MWENGE KUELEKEA WILAYANI MUNDULI.

HIYA-HIYA HIIYA MWENGE TUNAUKIMBIZA....MBIOMBIO


GARI MAHUSUSI KWAAJILI YA KUBEBA MWENGE LIKIFUATILIA MSAFARA WA WAKIMBIZA MWENGE KUELEKEA MUNDULI

MSAFARA WA MAGARI YALIYOKUA YAKIUSINDIKIZA MWENGE

ULIPO FIKA KONA YA MBAUDA MWENGE ULIPATA "BARAKA" KUTOKA KWA ASKARI HUYU WA USALAMA BARABARANI AMBAYE JINA LAKE HALIKUPATIKANA MARA MOJA


GARI YA POLISI LIKIFUATILIA USALAMA WA MSAFARA WA MWENGE KUELEKEA MONDULI

No comments:

Post a Comment