Thursday, August 9, 2012

MICHEZO MSETO


MAN UTD BADO INAMATUMAINI YA KUMNYAKUA ROBIN VAN PERSIE KUTOKA ARSENAL. JAPO KUA KUNA TAARIFA RVP AMEJIUNGA NA MAZOEZI CHINI YA WENGER.



KLAB YA SOKA YA BARCELONA BADO IKOKIMYA BAADA YA KUHUSISHWA NA KUISAKA SAIN YA MKAMERUNI ALEXANDER SONG. HAIJA THIBITISHA WALA KUKANUSHA NIA YAO.


AC MILAN YAFANIKIWA KUPATA SAIN YA CHRISTIAN ZAPATA AKITOKEA KLAB YA VILLAREAL


KOCHA WA REAL MADRID AMEONYESHA HALI YA MASHAKA KWA KIUNGO WA KIBRAZIL KAKA' KWA KUSEMA ANAWEZA KWENDA POPOTE LAKINI PESA MBELE. HII NI KUTHIBITISHA KWAMBA HAYUPO KWENYE MIPANGO YAKE YA BAADAE.

No comments:

Post a Comment