UNACHUKUA NYANYA KIWANGO AMBACHO UNAKIHITAI
UNAZIMENYA MAGANDA NA KUZIKATA
UNATOA MBEGU ZOTE ZA NYANYA NA KUZICHEMSHA
UNAONGEZA LIMAO KIASI KULINGANA NA MAKADIRIO YA NYANYA ULIZO NAZO
UNAONGEZA SUKARI NA KWA MAKADIRIO AU KULINGANA NA UNAVYOTAKA
UNAIKOROGA NA USIRUHUSU ITOE POVU UNAKOROGA MPAKA IWE NA UZITO WA KIASI
USISAHAU KUWEKA CHUMVI KIDOGO SANA.
KISHA UNAIACHA IPOE NA TAYARI KWA MATUMIZI
HARAKATI ZA KUKIARIBU TULICHO KITENGENEZA
MUDA HUU NILIKUA NIMEUTAMANI SAAAANA HASA BAADA YA KUDONDOSHA MATE KIWANGO CHA KUTOSHA WAKATI WA MAANDALIZI....
KARIBUNI AMEN
No comments:
Post a Comment