WATOTO WAKIJUMUIKA KUMSAPOTI MWENZAO KATIKA KUSHEHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
WATOTO HAWA WALIINOGESHA SIKU YA KUZALIWA MWENZAO
HAPA WAKATI WA MAAKULI KAMA KAWA ILI WAPATE NGUVU ZA KUIMBA NA KUSHANGILIA VYEMA
KEKI KWAAJILI YA TUKIO LENYEWE.
KIDUKU WAKATI WA KUSHEREHEKEA SIKKUKUU YA KUZALIWA MTOTO BRIGHTON
MTOTO BRIGHTON AKIZIMA MSHUMAA KUASHIRIA KUTIMIZA MWAKA MMOJA
No comments:
Post a Comment