WAKAZI WA JIJI WAKIANDAA MAAKULI KWAJILI YA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID
HAPA SIJUI NDO WALIKUA WANA FANYA "FAINO TACHI" ILI MAMBO YAWE MAMBO
HAPA NIVIJANA WANAO AMINIKA NI WAUMINI WA KIISLAM WAKIWA KATIKA HARAKATI ZAO ZA KUSHEREHEHEA EID
HATIMAYE MUDA UKAWADIA NA KIKAELEWEKA KWA STAILI HII
BAADHI YA MAJIRANI ZANGU WAKISHEREHEKEA SIKUKUU KWA KUCHEZA MUZIKI KIVYAO ILIKUA NI POA NI KAMA KAMJUMUIKO KALIKO LETA FURAHA SANA.
No comments:
Post a Comment