Monday, January 27, 2014

MADHARA YA SMARTPHONES

Tangu kugunduliwa kwa Smartphone, watu wengi hususan vijana wamekuwa wakitumia sana simu hizi hasa nyakati za usiku. Utafiti uliofanya na wataalamu toka Michigan State University umeonesha kuwa Kukodolea sana macho Smartphones wakati wa usiku kunapelekea mtu kujisikua mchovu sana siku inayo fuata. Utafiti hu uliwahusisha mameneja 82 na waajiriwa wa kawaida 161 ambao hutumia Smartphones baada ya saatatu usiku, watumishi hawa wote waliikuta wakiwa na ugonjwa wa "smartphone hangover" sasa sijui wewe unatmia mpaka saangapi??
Hayani maneno ya Profesa msaidizi MSU Russell Johnson ;

No comments:

Post a Comment