Tuesday, October 22, 2013

JAMES KOMBE AFARIKI DUNIA


Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi soma - http://bit.ly/16sPLoY
<

No comments:

Post a Comment