Friday, August 9, 2013

MWALIMU MWAKASEGE LIVE IN TABORA

MSIKILIZE MWAKASEGE http://41.59.13.185:88/broadwave.asx?src=1&rate=0

SOMO ;:SADAKA YAKO NA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA MUNGU

MARKO 12;41 Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi.

42 Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa.

43 Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina;

44 maana hao wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi; bali huyu katika umaskini wake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndiyo riziki yake yote pia.

No comments:

Post a Comment