Wednesday, June 19, 2013

DUNIANI KUNAMAMBO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/18-06-2013

Katika hali ya kushangaza Baba mmoja anayekwenda kwa jina la IGNASIUS KAIHURA ameikana familia yake ya watoto wane na kudai kuwa hawatambui kutokana na sababua ambazo hazipo bayana.

Mwandishi wa habari hizi ameshuhudia watoto wane wakiwa na Mama yao BIBI. LUCY KAIHURA akiwa na watoto wake ambao wametelekezwa na aliyekuwa mume wake ambaye ni mhandisi wa mitambo katika Jeshi la wananchi waTanzania.

BIB I. KAIHURA amebainisha kuwa yeye alikutana na BW.INFGASIUS wakati akiwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es Saalam na kufunga ndoa ambayo iliwawezesha kupata watoto hao wanne.

BIBI KAIHURA amebainisha kuwa siku moja alikwenda ofisi kwa mume wake kufuata mahitaji ya familia na kujitambulisha ndipo alipoambiwa kuwa BW.IGNASIUS KAIHURA amejiandikisha Jeshini kama yupo mwenyewe na hana familia inayomtegemea kitu ambacho sio kweli zaidi sikiliza kilio cha mama huyu akiwa na watoto wake ambao ameachiwa.  <

No comments:

Post a Comment