Thursday, May 9, 2013

PONDA APATA UHURU WAKE NUSU-NUSU

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA KISUTU LEO IMETOA ADHABU ILIOKUA IKISUBIRIWA NA MAMIA YA WATANZANIA JUU YA SHEIKH MAARUFU NA KATIBU WA JUMUIYA ZA TAASISI ZA KIISLAM PONDA ISSA PONDA.
HUKUMU HIO MABAYO ILWAACHIA HURU WALE WALIOITWA "WAFUASI WA PONDA" KUMTIA HATIANI SHEIKH PONDA HIVYO KUJIKUTA AKIPEWA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA URAIANI NA KUTAKIWA KUTOKUFANYA KOSA LOLOTE LA JINAI.No comments:

Post a Comment