Friday, May 10, 2013

AJALI MAENEO YA STESHENI

KUMETOKEA AJALI MAENEO YA STESHENI ILIOHUSISHA DALADALA MBILI MOJA HUFANYA SAFARI ZAKE POSTA KWENDA GONGO LAMBOTO NA MBEZI POSTA


HABARI ZINASEMA CHANZO CHA AJALI HIYO NI GARI LIFANYALO SAFARI ZAKE GONGO LA MBOTO POSTA KUKOSA BREKI NA HIVYO JITIHADA ZA DEREVA KULISIMAMISHA ZILIISHIA KUGONGA KINGO ZA BARABARA NA KULIKWANGUA DALADALA LIFANYAZO RUTI ZAKE ZA MBEZI - KIVUKONI
HATA HIVYO MPAKA SASA HAKUNA MAJERUHI ALIYE RIPOTIWA WA LA KIFO


1 comment:

  1. Very nice post. I just stumbled upon your weblog
    and wished to say that I've truly enjoyed browsing your blog posts. After all I'll be subscribing
    to your feed and I hope you write again very soon!

    My page - Hottravelworld.com

    ReplyDelete