Monday, January 21, 2013

MOKHTAR BELMOKHTAR AKIRI KUHUSIKA 


MPIGANAJI WA KIISLAMU WA ALGERIA ALIYESHUKIWA KUAGIZA SHAMBULIO KWENYE KINU CHA GESI - MOKHTAR BELMOKHTAR - ANAARIFIWA KUTHIBITISHA KWAMBA YEYE AMEHUSIKA.
MOKHTAR BELMOKHTAR

ALISEMA HAYO KWENYE VIDEO ILIYOONESHWA KWENYE TOVUTI YA MAURITANIA IITWAYO SAHARA MEDIA.

KWENYE VIDEO HIYO MOKHTAR BELMOKHTAR ANATAKA MAJESHI YA KIGENI YAACHE KUINGILIA KATI NCHINI MALI NA ANATANGAZA KUWA ANAUNGA MKONO AL QAEDA.

SAHARA MEDIA INASEMA VIDEO HIYO ILIRIKODIWA JUMA LILOPITA WAKATI KINU CHA IN AMENAS KIMESHATEKWA.

No comments:

Post a Comment