Monday, December 24, 2012

BALLOTELI NA KIZAIZAI 

KOCHA WA MANCHESTER CITY ROBERTO MANCINI, AMESEMA YUKO TAYARI KUUMPA MSHAMBULIAJI WAKE MARIO BALOTELLI NAFASI NYINGINE, IKIWA ATAONYESHA KUWA ANAHITAJI.
MAPEMA WIKI HII BALOTELLI, ALIFUTILIA MBALI UAMUZI WAKE WA KUKATAA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA KLABU HIYO WA KUMPIGA FAINI YA MSHAHARA WAKE WA WIKI MBILI, KWA KUKOSA MECHI KUMI NA MOJA MSIMU ULIOPITA.
WAKATI ALIPOULIZWA IKIWA BALOTELLI, ATAPEWA NAFASI NYINGINE, MANCINI ALISEMA ''HAKIKA, MIMI KAMA KOCHA WAKE NA KAMA WACHEZAJI WENGINE, IKIWA ATASTAHILI NAFASI NYINGINE, SINA BUDI ILA KUUMPA NAFASI HIYO. LAKINI NI JUKUMU LA BALOTELLI KUDHIHIRISHA KUWA ANAHITAJI NAFASI HIYO''
BALOTELLI, MWMENYE UMRI WA 22, ATAKOSA MECHI YA KESHO DHIDI YA READING KWA KUWA NI MGONJWA.

No comments:

Post a Comment