Tuesday, October 2, 2012

SHUTUMA ZA SERGIO AGUEROSergio Aguero
SERGIO AGUERO ANAAMINI WACHEZAJI RAIA WA UINGEREZA HUPENDELEWA NA WAAMUZI, WAKILINGANISHWA NA WENZAO KUTOKA NG'AMBO. 
MCHEZAJI HUYO WA KLABU YA MANCHESTER CITY, NA MWENYE UMRI WA MIAKA 24, ALIFUNGA BAO LA KUSAWAZISHA, KATIKA MECHI AMBAYO TIMU YAKE ILIISHINDA FULHAM MAGOLI 2-1.
WENZAKE KUTOKA ARGENTINA, PABLO ZABALETA NA CARLOS TEVEZ, LICHA YA KUDAI PENALTI, MAOMBI YAO YALIKATALIWA NA MWAMUZI. 

No comments:

Post a Comment