Monday, September 10, 2012

WORLD FLOOD TOURNAMENT ILIVYO FANA NGARANUMBE


MUANDAAJI WA TAMASHA LA WORLD FLOOD TOURNAMENT AKITOMA NENO LA UFUNGUZI WA SIKU HIYO.KOMBE LILILO SHINDANIWA NA WASHIRIKI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI
MUANDAAJI WA SHUGHULI BWANA DAVID GIDO (MWENYE KINYWAJI) AKIPOZI NA WADAUMISOSI NAYO HAIKUWA MBALI.
 
WASHIRIKI WAKIWATAYARI KUPAMBANA KWA LENGO LA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUSAIDIANA MIONGONI MWA WATANZANIA
MAELEKEZO NA KANUNI ZA MASHINDANOWASHINDI WAKIWA NA ZAWADI YAO YA "MEE"


WADAU WENGINE WALIBAKI KAMA WATAZAMAJI TU.


No comments:

Post a Comment