Monday, September 10, 2012

TUNAINGOJA KWA HAMU HIO TRENI


FOLEN IMEKUA NI MOJA YA KERO ZA WAKAZI WAJIJI


USAFIRI WA RELI KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM UTAZINDULIWA RASMI OKTOBA MWAKA HUU KAMA ILIVYOPANGWA, HATA KAMA BAADHI YA MIUNDOMBINU ITAKUWA HAIJAKAMILIKA.AKIZUNGUMZA OFISINI KWAKE JANA, MKURUGENZI WA UFUNDI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL), MOHAMED MOHAMED ALISEMA HADI SASA KILA KITU KINAKWENDA  VIZURI INGAWA WANAKABILIWA NA CHANGAMOTO NYINGI.

MOHAMED ALISEMA TAYARI KANDARASI ZIMETOLEWA KWA KAMPUNI TOFAUTI KWA AJILI YA UJENZI WA VITUO NA SEHEMU ZA KUKATIA TIKETI, UWEKAJI KOKOTO KATIKA RELI, VIFUSI KWA BAADHI YA MAENEO, ALAMA ZA TAHADHARI KATIKA MAKUTANO YA BARABARA NA UMEME NA VYOO.

No comments:

Post a Comment