Friday, September 7, 2012

WAHAMIAJI HARAMUWALINZI WA MWAMBAO KUTOKA SHIRIKA LA MAJESHI YA MUUNGANO YA NATO WANAWATAFUTA MANUSURA WA BOTI ILIYOZAMA UFUONI MWA KISIWA CHA LAMPEDUSA AMBAPO MTU MMOJA ALIFARIKI NA WENGINE WENGI BADO HAWAJULIKANI WALIKO.
MANUSURA WENGINE 56 WAKIWEMO WANAWAKE WAJAWAZITO WAMEOKOLEWA KUTOKA KWENYE BOTI HIYO ILIYOZAMA MAPEMA LEO ASUBUHI.

No comments:

Post a Comment