Saturday, September 8, 2012

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. MIZENGO P. PINDA AMEWAVUA MADARAKA WAKURUGENZI SITA, AMETEUA KAIMU WAKURUGENZI SITA, WAKURUGENZI WAPYA KUMI NA NNE, NA KUWAHAMISHA WAKURUGENZI ISHIRINI NA SABA KUTOKA KATIKA VITUO VYAO KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI.

MIONGONI MWA SABABU HIZO NI PAMOJA NA KUONYESHA UDHAIFU KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU, KUSTAAFU, KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI KATIKA HALMASHAURI MPYA ZILIZOANZISHWA HIVI KARIBUNI NA WENGINE WAMEBADILISHIWA MAJUKUMU NA KUREJEZWA KATIKA KAZI ZAO ZA AWALI.

ORODHA YA MAJINA YA WAKURUGENZI HAO, MAENEO WANAYOTOKA NA SABABU ZA MABADILIKO NI KAMA IFUATAVYO:-

(A) WAKURUGENZI WALIOVULIWA MADARAKA
NA.      JINA     HALMASHAURI ANAYOTOKA  MAELEZO
1.         BW. WILLY J. NJAU      MWANGA DC  ALIOMBA KUREJESHWA KATIKA MAJUKUMU YAKE YA AWALI KUTOKANA NA SABABU ZA KIAFYA.
2.         BW. MPANGALUKELA TATALA
GEITA DC         KUSHINDWA KUSIMAMIA RASILIMALIWATU NA FEDHA.
3.         BW. THEONEST NYAMHANGA            KISHAPU DC    KUSHINDWA KUSIMAMIA
RASILIMALIWATU NA RASILIMALI FEDHA.
4.         BW. EDEN MUNISI      MOROGORO DC         KUISABABISHIA HALMASHAURI KUPATA HATI CHAFU NA KUSHINDWA KUSIMAMIA RASILIMALI PAMOJA NA UZEMBE.
5.         BW. MHANDO H. SENYAGWA            KYELA DC        ANA KESI MAHAKAMANI
6.         BW. NICHOLAUS KILEKA         NGORONGORO DC     ALIKUWA NA KESI ILIYOENDESHWA NA TAKUKURU(B) WAKURUGENZI WAPYA WANAOTEULIWA KUJAZA NAFASI WAZI
NA.      HALMASHAURI            JINSIA  TAALUMA /CHEO        HALMASHAURI
ATOKAYO        AENDAYO
1.         ABDALAH A. KIDWANKA         ME       AFISA ARDHI   MUFINDI DC    GEITA DC KAIMU
2.         RUTIUS D. BILAKWATA           ME       DPLO   KISHAPU DC KISHAPU DC KAIMU
3.         NAOMI N. NKO           KE        DEO - KAIMU DED      MPANDA DC MAGU DC
4.         ABDALAH I. MFAUME ME       DPLO   UKEREWE DC KYELA DC
5.         TWALIB A. MBASHA    ME       KAIMU DED     MONDULI DC MONDULI DC KAIMU
6.         HENRY R. RUYAGU      ME       MHANDISHI – DC        URAMBO DC
URAMBO DC KAIMU
7.         ADAM I. MGOYI          ME       CIA       OFISI YA MWANASHERIA WA SERIKALI MBARALI DC
8.         ESTOMIH F. CHANG’A ME       KAIMU DED     ARUSHA MC MPANDA DC
9.         LETI SHUMA    KE        DPLO   KIBAHA DC MWANGA DC
10.       MOHAMED A. MAJE   ME       DEO     KILOSA DC NAMTUMBO DC
11.       FULGENCY MPONJI     ME       DEO     SONGEA MC    MOSHI DC
12.       ROBERT NEHATA        ME       DCO     NJOMBE DC TUNDURU DC
13.       ISABELA O. CHILUMBA KE      DHRO  MOROGORO MC        KAHAMA DC
14.       FIKIRI MALEMBEKA     ME       DPLO   KILOMBERO DC          SENGEREMA DC
15.       ISABELA D. CHILUMBA           KE        DALDO            TANDAHIMBA DC       ULANGA DC
16.       NASIB MBAGA KE        DPLO   MUFINDI DC    BIHARAMULO DC
17.       IDDI NGANYA  ME       DHRO  NZEGA DC       MAKETE DC KAIMU
18.       JOVIN JUNGU  ME       TEO     MASASI TC      CHAMWINO DC KAIMU
19.       PAUL S. MALALA         ME       DPLO   IRINGA MC      NJOMBE DC
20.       FELIX P. MABULA        ME       MHASIBU        BUKOMBE DC HANANG DC KAIMU


(C) WAKURUGENZI WANAOHAMISHWA ILI KUJAZA VITUO WAZI
NA.      JINA KAMILI     JINSI     TAALUMA /CHEO        HALMASHAURI
ATOKAYO        AENDAYO
1.         BI. BIBIE MNYAMAGOLA KE   MKURUGENZI MTENDAJI       KILINDI DC       KONGWA DC
2.         DAUDI R. MAYEJI        ME       MKURUGENZI MTENDAJI       CHAMWINO DC          KILINDI DC
3.         BW. PROTACE T. MAGAYANE ME       MKURUGENZI MTENDAJI       IGUNGA DC     NKASI DC
4.         BI. SAADA MWARUKA KE        MKURUGENZI MTENDAJI       NKASI DC         MKURANGA DC
5.         SIPORA J. LIANA          KE        MKURUGENZI MTENDAJI       MKURANGA DC           TABORA MC
6.         HADIJA MAKUWANI    KE        MKURUGENZI WA MANISPAA            TABORA MC    TABORA DC
7.         BI. DOROTH ANATOLI RWIZA KE        MKURUGENZI MTENDAJI       TABORA DC     KASULU DC
8.         KELVIN MAKONDA      ME       MKURUGENZI MTENDAJI       KASULU DC      LINDI MC
9.         PUDENCIANA KISAKA  KE        MKURUGENZI MTENDAJI       ULANGA DC     IRINGA DC
10.       TINA SEKAMBO           KE        MKURUGENZI MTENDAJI       IRINGA DC       MAKAMBAKO TC
11.       BEATRICE R. DOMINIC           KE        MKURUGENZI MTENDAJI       BUKOBA DC    MASASI DC
12.       GLADYNESS NDYAMVUYE       KE        MKURUGENZI MTENDAJI       MASASI DC      BUKOBA DC
13.       NATHAN MSHANA      ME       MKURUGENZI WA MANISPAA            MUSOMA MC NGORONGORO DC
14.       CORNEL NGUDUNGI   ME       MKURUGENZI MTENDAJI       MAGU DC        NGARA DC
15.       MOHAMED MKUPETE            ME       MKURUGENZI MTENDAJI       NJOMBE DC    MTWARA MC
16.       DR. KOROINE OLE KUNEY       KE        MKURUGENZI MTENDAJI       NGORONGORO DC     MISUNGWI DC
17.       EPHRAEM OLE NGUYAINE      ME       MKURUGENZI MTENDAJI       TUNDURU DC  RORYA DC
18.       GOODY PAMBA          KE        MKURUGENZI MTENDAJI       HANANG DC    IGUNGA DC
19.       FIDELIS LUMATO         ME       MKURUGENZI TARIME DC      LUDEWA DC
20.       ATHUMAN O. ME       MKURUGENZI KONGWA DC   TARIME DC
21.       AHMAD S. SAWA         ME       MKURUGENZI WA MJI            LINDI TC          MUSOMA MCWAKURW

(D) WAKURUGENZI WANAOHAMISHWA KWENDA KWENYE HALMASHAURI MPYA.
NA.      JINA KAMILI     JINSIA  TAALUMA /CHEO        HALMASHAURI
ATOKAYO        AENDAYO
1.         MAGRETH NAKAINGA
KE        DED     MTWARA MC  GEITA TC
2.         ELIZA BWANA KE        DED     KAHAMA DC    BARIADI TC

3.         ZUBERI MBYANA        ME       DED     BIHARAMULO DC       ILEMELA MC

4.         MOHAMED NANYANJE           ME       DEO (SEC)       SUMBAWANGA MC    MASASI TC
5.         ERICA MUSIKA            KE        DED     SENGEREMA DC KAHAMA TC

6.         IMELDA ISHUZA          KE        DED     MAKETE DC     BUSOKELO DC


SERIKALI HAITASITA KUCHUKUA HATUA MBALIMBALI PALE INAPOBIDI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI NA KUWAFANYA WATUMISHI WAWAJIBIKE KATIKA MAJUKUMU YAO IPASAVYO.


IMETOLEWA NA:MHE. HAWA A. GHASIA (MB)
WAZIRI WA NCHI - OFISI WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

No comments:

Post a Comment