Monday, September 3, 2012

WACHIMBA MADINI WAFUTIWA MASHTAKA KWA MUDA


NCHINI AFRIKA KUSINI UPANDE WA MASHTAKA UMEFUTA KWA MUDA MASHTAKA YA MAUAJI DHIDI YA WACHIMBA MIGODI 270 WALIOGOMA.

WACHIMBA MIGODI HAO WALISHTAKIWA KWA MAUAJI YA WENZAO 34 WALIOPIGWA RISASI NA POLISI MWEZI ULIOPITA WAKATI WA MGOMO.
WANASEMA KUWA WACHIMBA MIGODI HAO WATAACHILIWA HURU KATIKA WIKI MBILI ZIJAZO.
WANANCHI WALISHANGZWA NA UAMUZI WA AWALI, WA KUTUMIA SHERIA YA WAKATI WA UBAGUZI WA RANGI, KUWASHTAKI WACHIMBA MIGODI KWA MAUAJI YA WENZAO, INGAWA RISASI ZOTE ZILIFYATULIWA NA POLISI.
<

No comments:

Post a Comment