Monday, September 3, 2012

MUONEKANO WA MWANDISHI ALIYEPIGWA BOMU IRINGA

PICHA MBALIMBALI ZA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI ENZI ZA UHAI WAKE


POLISI WA KUTULIZA GHASIA WAKIWA KATIKA HALI YA SINTOFAHAMU MARABAADA YA MLIPUKO ULIOSABABISHA KIFO CHA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI
MWILI WA MWANDISHI MUDA MFUPI BAADA YA KUPIGWA NA KITU KINACHODHANIWA KUWA NI BOMU.

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI MAHALI PEMA. AMEN


No comments:

Post a Comment