Tuesday, September 25, 2012

MARAISI WA SUDANI WAKUTANA


Marais wa Sudan na Sudan Kusini wameendelea na mazungumzo yao hii leo kuhusu mgogoro ambao ulisababisha mapigano mapema mwaka huu.
Mambo muhimu katika mkutano huo unaofanyika Ethiopia ni pamoja na usalama wa mpaka, kuchangia mapato ya mafuta na eneo lililozusha mzozo la Abyei mwezi April, chini ya mwaka mmoja baada ya Sudan Kusini kujitenga.
Mkutano huo unakusudia kupata makubaliano jadidi kuhusu masuala ya mafuta na mipaka

.

No comments:

Post a Comment