Tuesday, September 4, 2012

KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI: HUYU NAE KAJA NA YAKE MAPYA


MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??

(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,

(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.

(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.

(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.

(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.

(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.

(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.

(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.

HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS
Ally Salum Hapi

MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM


University of Dar es Salaam
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment