Tuesday, September 4, 2012

DK SLAA AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEM DAUDI MWANGOSIKATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) DK WILBROAD SLAA AKIMKUMBATIA  MTOTO WA MAREHEMU DAUD MWANGOSI KAMA ISHARA YA KUMFARIJI.

DAUDI MWANGOSI INASEMEKANA ALIUWAWA NA KITU CHENYE MLIPUKO ALIPOKUA AKIPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA POLISI WA KUTULIZA GHASI MJINI IRINGA TUKIO AMBALO LINASADIKIWA KUWA NI VURUGU ZA KISIASA.

No comments:

Post a Comment