Saturday, September 29, 2012

JE WEWE NI MTAALAM? SOMA HII YA WATAALAM WENZAKOKUNA JAMAA WAWILI,WALIKWENDA KUWINDA,MMOJA ALIKUWA MTAALAMU WA KULENGA MWINGINE WA KUCHUNA,MTAALAM WA KUCHUNA ALIBAKI GARINI NA MWENZAKE AKASHUKA
KUWINDA,ANAKATIZA KICHAKANI MARA SIMBA HUYOOOO!IKABIDI JAMAA AANZE KUKIMBIA VIBAYA MNO HUKU AKIPIGA KELELE FUNGU FUNGUA......,MWENZAKE AKAFUNGUA MLANGO WA GARI, JAMAA ANAKARIBIA MLANGONI HUKU SIMBA AKIWA NYUMA,SIMBA AKARMRUKIA,BAHATI MBAYA JAMAA AKAANGUKA CHINI,SIMBA AKAJIKUTA NDANI YA GARI,JAMAA AKAAMKA
FASTA AKAFUNGA MLANGO NA KUMWAMBIA MWENZAKE,''ANZA KUMCHUNA NAKWENDA
KULETA MWINGINE''...

No comments:

Post a Comment