Tuesday, September 4, 2012

HULK ATUA ZENITH ST PETERSBURGMCHEZAJI HULK AMETUA TIMU YA ZENITH AKITOKEA PORTO KWA MKATABA WA MIAKA MITANO.  AMEHAMIA KATIKA TIMU YAKE MPYA KWA ADA YA PAUND 60 MILION MARA BAADA YA OFA YA KWANZA YA PAUND 50 MILION KUKATALIWA.

HULK MWENYE UMRI WA MIAKA 26 ALIFUNGA MAGOLI 21 KATIKA MASHINDANO YOTEB ALIOSHIRIKI NA FC PORTO MSIM ULIO PITA

No comments:

Post a Comment