Tuesday, September 4, 2012

GWIJI LA MIHADARATI LAUWAWA
MLANGUZI WA MADAWA YA KULEVYA NCHINI COLOMBIA, ANAYEJULIKANA KAMA "QUEEN OF COCAINE", AMEUAWA KATIKA MJI WA MEDELLIN.
GRISELDA BLANCO, MWENYE UMRI WA MIAKA 69, ALIUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA WAKATI AKIONDOKA KATIKA DUKA LA KUUZA NYAMA.
BLANCO ALIKUWA MFANYABIASHARA WA KWANZA WA MIHADARATI KUUZA KIWANGO KIKUBA CHA COCAIN NCHINI MAREKANI KATIKA MIAKA YA SABINI NA THEMANINI.

No comments:

Post a Comment