Sunday, August 19, 2012

MWANZILISHI WA WIKILEAKS JULIAN ASSANGE AMEJITOKEZA HADHARANI


MWANZILISHI WA WIKILEAKS JULIAN ASSANGE AMEJITOKEZA HADHARANI KWA MARA YA KWANZA TOKEA MIEZI MIWILI ILIYOPITA.
ALIZUNGUMZA KATIKA BARAZA NDOGO KATIKA JENGO LA UBALOZI WA EQUADOR JIJINI LONDON ALIPOKUWA AMEPATIWA HIFADHI KUEPUKA KUPELEKWA NCHINI SWEDEN KUKABILIANA NA TUHUMA ZA UBAKAJI.
BWANA ASSANGE ALIUSHUKURU UBALOZI WA ECUADOR KWA KUMPATIA HADHI YA UKIMBIZI NA KUIKOSOA VIKALI MAREKANI.
AMESEMA WASHINGTON NI LAZIMA IAHIDI KUTOMSHITAKI KWA KUFICHUA NYARAKA ZA SIRI NA KUACHA KILE ALICHOKIITA KUISAKAMA WIKILEAKS.
PIA AMEZILAUMU NCHI ZA UINGEREZA, SWEDEN NA AUSTRALIA ANAKOTOKA KWA KUSHINDWA KUMUUNGA MKONO

No comments:

Post a Comment