Sunday, August 19, 2012

"HEPI-BESDEI" MTOTO BRIGHTONWATOTO WAKIJUMUIKA KUMSAPOTI MWENZAO KATIKA KUSHEHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

WATOTO HAWA WALIINOGESHA SIKU YA KUZALIWA MWENZAO

HAPA WAKATI WA MAAKULI KAMA KAWA ILI WAPATE NGUVU ZA KUIMBA NA KUSHANGILIA VYEMA

KEKI KWAAJILI YA TUKIO LENYEWE. 

KIDUKU WAKATI WA KUSHEREHEKEA SIKKUKUU YA KUZALIWA MTOTO BRIGHTON


MTOTO BRIGHTON AKIZIMA MSHUMAA KUASHIRIA KUTIMIZA MWAKA MMOJA

No comments:

Post a Comment