Friday, August 17, 2012

MMH KEKI ZINGINE BANA


HII NI KEKI AMBAYO MTOTO ALIANDALIWA KWAAJILI YA BIRTHDAY PARTY YAKE. VIPI UNAWEZA KUILA?


HAPA IMESHA MEGWA

BINAFSI NISINGEWEZA HATA KUPIGIA MAKOFI WAKATI WA KUIKATA KEKI HIYO LABDA NINGETIMUA MBIO ZA KUTOSHA

No comments:

Post a Comment