Thursday, August 23, 2012

KAZI BADO SI RAHISI IGUNGAPROFESA ABDALLAH SAFARI


“KATIKA KESI HII, MASHAHIDI WENGI WALIKUWA WAOGA HASA KWA KUWA WALIKUWA WAKITOA USHAHIDI DHIDI YA VIONGOZI KWA MFANO, UKIMWAMBIA MTU ATOE USHAHIDI DHIDI YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ANAOGOPA,” ALISEMA NA KUONGEZA;

“KWA MFANO, USHAHIDI DHIDI YA MANENO ALIYOSEMA KATIBU MKUU WA CCM, WILSON MUKAMA ULIFANIKISHWA NA WAANDISHI WA HABARI KWA KUTHIBITISHA KUWA ALITAMKA MANENO YALE.”

NAPE NNAUYE


“CHAMA CHA MAPINDUZI KIMETAFAKARI HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI ILIYOTOLEWA AGOSTI 21, MWAKA HUU NA MAHAKAMA KUU, KANDA YA TABORA, CHAMA KIMEJIRIDHISHA NA KUFANYA UAMUZI WA KUKATA RUFAA DHIDI YA HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI, DHIDI YA DK KAFUMU,”

No comments:

Post a Comment