Thursday, August 16, 2012

IMANI MAJARIBUNI

HAWA WAPENDWA WAWILI SIJUI WALIAGAJE HUKO NYUMBANI KWAO. NADHANI WALIAGA KUWA WAMEFUNGA LAKIN "MMH"

SIJUI NDO WANAKAZIA SWAUMU? KAZI KWELI KWELI. KUFUNGA SWAUMU YATAKA MOYO. SIO JAMBO RAHISI.

NILISHINDWA KUWAFUATA KWA MBELE PENGINE NINGECHOKOZA SHARI. KWAHIO IKANILAZIMU KUTOSHEKA NA KIDOGO NILICHOKIONA

No comments:

Post a Comment