Saturday, August 18, 2012

AJALI MAENEO YA MATUMBI


GARI NGODO ILIOGONGWA NA GARI AINA YA FUSO MAENEO YA TABATA MATUMBI

FUSO NYEUPE ILIO SABABISHA AJALI BAADA YA KUIGONGA GARI NDOGO LAKIN KATIKA HARAKATI ZA KUKIMBIA ALIISHIA KULIGONGA GARI KUBWA


GARI KUBWA LIKIWA LIMEGONGWA NA FUSO AMBAYO ILIKUA IKIJARIBU KU KIMBIA NA KUISHIA KUSABABISHA AJALI NYINGINE


AJALI HII ILIZUA TATIZO BAADA YA KUFUNGA NJIA KWA MUDA BAADA YA DEREVA WA FUSO JEUPE KUKIMBIA.BAADHI YA WAKAZI WA ENEO LA MATUMBI WAKITAZAMA MATOKEO YA AJALI ILIOSABABISHWA NA FUSO JEUPE.


GARI KUBWA ILIOGONGA KIBANDA CHA FUNDI VIATU KATIKA JITIHADA ZA KUIKWEPA GARI AINA YA FUSO ILIOKUA KATIKA MWENDO WA KASI NA KUSABABISHA AJALI.

ILIKUA NI MIDA YA SAA MBILI JION NDIPO GARI AINA YA FUSO ILIPOKUA KATIKA MWENDO WA KASI ILIPOIGONGA GARI NDOGO YENYE NAMBA ZA USAJILI T 443 BGN, LAKINI WAKATI DEREVA WA FUSO LENYE NAMBA ZA USAJILI T 560 AZW, ALIPOTAKA KUKIMBIA ALIISHIA KULIGONGA SCANIA LENYE NAMBA ZA USAJILI T 907 BQC, 

LAKINI CHA KUSHUKURU NIKUWA HAKUNA MTU ALIYE UMIA SANA WALA KUPOTEZA MAISHA. MBALI NA MAGARI KU BONYE.

No comments:

Post a Comment