Sunday, July 1, 2012

TETESI ZA VURUGU KAWE


KUNA TETESI MKUTANO WA UCHAGUZI WA VIJANA CCM KATA YA KAWE UMEVUNJIKA BAADA YA VIJANA KUPIGANA VIBAYA NA KURUSHIANA VITI HUKU WAKILAANI UONGOZI WA JUU KWA KUTAKA KUUA CHAMA.ILIKUWA NI AIBU KUU KWA CHAMA TAWALA AMBAPO VIJANA HAO WAMETABIRI CHAMA CHAO KITAZIKWA MUDA SI MREFU.
SABABU KUBWA YA KUPIGANA NI UONGOZI WA JUU WA CCM KUKATA MAJINA YA WALIOOMBA NAFASI YA MWENYEKITI NA KULETA JINA LA MTU AMBAYE HAKUOMBA.INADAIWA HIYO YOTE NI KUTOKANA NA MAKUNDI YANAYOTAFUNA CHAMA HICHO PAMOJA NA RUSHWA YA NGONO ILIYOKITHIRI NDANI YA CHAMA HICHO WILAYA YA KINONDONI.

No comments:

Post a Comment